Soko la Mashine Tatu Iringa lateketea kwa Moto

Soko la Mashine Tatu Iringa lateketea kwa Moto

#1

Moto wateketeza Soko la Mashine Tatu Iringa, uchunguzi waendelea



Muonekano wa Soko la Mashine Tatu lililopo Halmashauri ya Manispaa ya Iringa likiwa linaungua usiku wa kuamkia leo Julai 12, 2025.

Soko la Mashine Tatu, Iringa limeteketea kwa moto usiku wa kuamkia Julai 12, 2025 huku maduka na vibanda kadhaa vimeungua na chanzo cha moto bado kikichunguzwa.

Related Discussions

REPLY HAPA


image quote pre code