Amuua Admin baada ya kuondolewa kwenye group la Whatsapp
Inaelezwa kuwa huko Huko Peshawar, nchini Pakistan, mwanamume aliyefahamika kwa jina Ashfaq ameshtakiwa kwa mauaji ya Mushtaq Ahmed, ambae ni admin wa kikundi cha WhatsApp, kufuatia kuondolewa kwake katika kundi hilo.
Tukio hilo lilitokea Machi 6, 2025, ambapo baada ya Ahmed kumwondoa Ashfaq katika group la whatsaap ,mtuhumiwa aliomba kukutana nae kwa ajili ya suluhu lakini Ashfaq inadaiwa alifika akiwa na silaha na kumpiga risasi Ahmed.
image quote pre code