Leo ni "Left Handers Day" siku ya watu wanaotumia mkono wa kushoto duniani
Leo ni "Left Handers Day" siku Dunia inaadhimisha na kutambua mchango wa watu wanaotumia mkono wa kushoto zaidi katika shughuli zao za kila siku. Lengo likiwa ni kuwathamini na kutambua mchango wao kwenye jamii zao.
Je, Watu wanaotumia mkono wa kushoto kwenye jamii yako wana sifa zipi⁉️
image quote pre code