Aliko Dangote,Mwafrika wa kwanza kufikisha utajiri wa Dola Bilioni 30.3

Aliko Dangote,Mwafrika wa kwanza kufikisha utajiri wa Dola Bilioni 30.3

#1

Aliko Dangote,Mwafrika wa kwanza kufikisha utajiri wa Dola Bilioni 30.3

Ripoti kutoka Mabilionea Bloomberg Mfanyabiashara mkubwa wa nchini Nigeria, Aliko Dangote, ameandika historia mpya kwa kuwa Mwafrika wa kwanza kufikisha utajiri wa Dola Bilioni 30.3, 

​Utajiri huu wa Dangote, ambao umeongezeka kwa Dola Bilioni 2.25 mwaka huu, unachangiwa pakubwa na biashara zake za saruji, mafuta, na mbolea.

​Moja ya miradi yake mikubwa inayochangia utajiri huu ni kiwanda cha saruji chenye thamani ya Dola Milioni 160 nchini Côte d'Ivoire, pamoja na kiwanda chake kikubwa cha kusafisha mafuta cha Nigeria, kinachokadiriwa kuwa na thamani ya Dola Bilioni 20.

Consultation ya Afya Moja kwa Moja

Mimi ni Dr. Ombeni Mkumbwa. Nakupa ushauri wa kitaalamu kuhusu tatizo lolote la kiafya kwa siri, haraka na uhakika.

WhatsApp

Changia Mada hapa(Reply)


image quote pre code