Dalili za ovarian cyst (uvimbe maji kwenye ovari) hutegemea ukubwa wa uvimbe na aina yake, lakini mara nyingi zinafanana. Zifuatazo ni dalili kuu zinazoweza kujitokeza:
Dalili za Ovarian Cyst (Uvimbe Maji kwenye Ovari):
- Maumivu upande wa chini wa tumbo (hasa upande mmoja – kulia au kushoto).
- Maumivu makali wakati wa hedhi au hedhi kuwa nzito kuliko kawaida.
- Maumivu wakati wa tendo la ndoa.
- Kuvimba au kujaa tumboni (bloating) – kuhisi kama tumbo limejaa hewa.
- Kichefuchefu au kutapika, hasa kama cyst imepasuka.
- Mkojo wa mara kwa mara – kwa sababu cyst inasukuma kibofu cha mkojo.
- Kuchelewa kwa hedhi au mabadiliko katika mzunguko wa hedhi.
- Kuhisi uzito sehemu ya chini ya tumbo.
- Maumivu makali ghafla (acute pain) endapo cyst itapasuka au kujisokota (torsion).
- Maumivu makali ya ghafla kwenye tumbo la chini.
- Kizunguzungu, kuishiwa nguvu au kupoteza fahamu (Hizi ni dalili za kuvuja damu kwa ndani).
- Homa, kichefuchefu Kikali, au tumbo kuwa gumu sana.
- Ultrasound (Pelvic Ultrasound) – ndio kipimo cha msingi.
- Blood tests (kama CA-125) – hutumika kuangalia kama kuna hatari ya uvimbe kuwa wa saratani (hasa kwa wanawake waliokoma hedhi).
- Aina ya cyst (functional, dermoid, endometriotic, n.k.)
- Ukubwa wake
- Umri wa mgonjwa
- Dalili alizonazo
Je,Una tatizo hilo na hujapata Tiba bado?
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU NA TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.









image quote pre code