Lionel Messi ameshinda Kiatu cha Dhahabu cha ufungaji bora
Lionel Messi ameshinda Kiatu cha Dhahabu cha ufungaji bora MLS baada ya kufunga mabao 29 katika mechi 28 pekee akiwa na Inter Miami.
Alipokea tuzo hiyo kabla ya mechi yao dhidi ya Nashville SC na akafunga mabao mawili katika ushindi wa 3-1, na kufikisha mabao 891 katika maisha yake ya soka.








image quote pre code