Simba SC imefuzu hatua ya makundi michuano ya Klabu Bingwa Afrika baada ya kutoka sare ya 0-0 dhidi ya Nsingizini Hotspurs ya nchini Eswatin katika mchezo wa marudiano.
Matokeo ya jumla ni Simba SC 3-0 Nsingizini Hotspurs.
Ushauri, Elimu na Tiba juu ya magonjwa mbali mbali,Habari...*kuhusu Afya*n.k.



image quote pre code