Treni ya SGR yapata ajali Eneo la Ruvu,Chanzo cha ajali?
Treni ya Mwendokasi (SGR) imepata ajali leo asubuhi katika eneo la Ruvu, mkoani Pwani, ikiwa inatoka Dar es Salaam kuelekea Dodoma.
Mpaka sasa chanzo cha ajali hiyo hakijajulikana, ingawa treni imehama kwenye reli kama inavyoonekana kwenye picha.
image quote pre code