Achraf Hakimi ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa Afrika katika tuzo za CAF
Beki wa Timu ya Taifa ya Morocco na Klabu ya PSG ya Ufaransa Achraf Hakimi ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa Afrika katika tuzo za CAF.
Hakimi amewashinda Mohamed Salah wa Liverpool/Misri na Victor Osimhen wa Galatassaray ya Uturuki na timu ya Taifa ya Nigeria.





.jpeg)



image quote pre code