Cristiano Ronaldo amshukuru Rais Trump kwa kumwalika yeye na mke wake mtarajiwa, Georgina Rodriguez kwenye Ikulu ya White House (Picha)
Mchezaji maarufu wa mpira wa miguu Cristiano Ronaldo amemshukuru Rais wa Marekani Donald Trump kufuatia ziara yake katika Ikulu ya White House, ambapo alipokelewa pamoja na mchumba wake, Georgina Rodriguez.
Cristiano Ronaldo amshukuru Rais Trump kwa kumwalika yeye na mke wake mtarajiwa, Georgina Rodriguez kwenye Ikulu ya White House (Picha)
Mapema leo, Trump alimkaribisha Cristiano Ronaldo na mwenzake, Georgina ofisini kwake katika Ikulu ya White House.
“Thank you, Mr President, for the warm welcome you and the First Lady gave me and my future wife,” Ronaldo said. “Each of us has something meaningful to give, and I stand ready to do my part as we inspire new generations to build a future defined by courage, responsibility, and lasting peace.”










image quote pre code