Afyaclass Bongo Social Nyota wa Bollywood Dharmendra 'He-Man' afariki akiwa na umri wa miaka 89

Watu walitokea kumpenda na kumuamini sana Dharmendra,upendo huo wa kipekee aliupata kutoka kwa mamilioni ya mashabiki Zake.

Mwigizaji huyo alitoa filamu maarufu na za kusisimua.

Dharmendra mara nyingi alisema 'aliona aibu' kuzungumzia sura yake/BBC

Nyota huyo wa Bollywood Dharmendra amefariki katika jiji la Mumbai nchini India akiwa na umri wa miaka 89.

Waziri Mkuu wa India Narendra Modi alitoa heshima kwa mwigizaji huyo, akisema kifo chake "kinaashiria mwisho wa enzi katika sinema za India".

You, Mehreen and others

WEKA MAONI HAPA(Reply)

Notification
Karibu Afyaclass Bongo Social Jukwaa linalojadili mambo mbali mbali ikiwemo afya,Magonjwa na Updates Zote,Tembelea hapa kila Siku,Pia Share Maoni yako kwenye jukwaa hili Afyaclass Bongo Social ASANTE.
UNDERSTOOD