Media personality,Simon Cowell, 66, afichua Siri anayotumia ili kuhakikisha anabaki kijana

Media personality,Simon Cowell, 66, afichua Siri anayotumia ili kuhakikisha anabaki kijana

#1

Media personality, Simon Cowell, 66, afichua njia anayotumia ili kuhakikisha anabaki kijana

Jaji wa zamani wa X Factor, 66, amefichua kwamba anazuia kuzeeka kwa kwenda kwenye kliniki ya ustawi ambayo huchukua damu yake, kuiosha, na kuirudisha mwilini mwake.

"Ninaenda kwenye kliniki hii ya ustawi ambapo huchukua damu yako, wanaiosha, wanaichuja, wanairudisha mwilini mwako," alielezea katika mahojiano ya hivi karibuni na podikasti ya Rolling Stone Music Now.

Changia Mada hapa(Reply)


image quote pre code