Stephane Aziz KI anatarajia kuondoka Wydad,uwezo wake hauridhishi

Stephane Aziz KI anatarajia kuondoka Wydad,uwezo wake hauridhishi

#1

Stephane Aziz KI anatarajia kuondoka Wydad  baada ya kocha Mohamed Benhachem kutoridhishwa na uwezo wake

Wydad  inapaswa kupunguza wachezaji 3 kati ya wachezaji wao 8 wa kigeni (Mwalimu, Ferreira, Meijers, Malsa, Obeng, Aziz Ki, Pedrinho & Arthur).



Changia Mada hapa(Reply)


image quote pre code